Lishe kwa wagonjwa wa ukimwi bado kikwazo
Na Grace Mkojera : Nchini Tanzania kuna watu zaidi ya milioni mbili ambao wanaishi na virusi vya ukimwi huku wengine wakiwa bado hawajajitokeza kupima ili kutambua afya zao. Aidha, Takwimu mbalimbali za mwaka 2003 zinaeleza kuwa watu wapatao milioni 25 waliokufa kwa Ukimwi katika Afrika, zaidi ya asilimia 90 wanatoka katika familia maskini sana. Pia, zinaeleza kuwa vijana wa…
