Wizara ya Nishati na Madini Inaaibisha Taifa na Watanzania
*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA FEMACT: * * * Sisi Muungano wa Asasi za Kiraia zinazotetea Usawa wa jinsia, haki za binadamu, demokrasia na ukombozi wa wanawake kimapinduzi (FemAct) tumepokea kwa mshtuko, mshangao na masikitiko makubwa, tuhuma kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Madini na Nishati, ameandaa mpango mahususi wa kukusanya pesa kutoka idara na wakala walio chini ya…