BARUA YA WAZI KWA MASHEIKH
Mkataeni kabisa Dk. Slaa, mwambieni JK aanze kurekebisha uchumi Na Anil Kija KUFANYIKA kwa kongamano la kutoa mwelekeo wa uchaguzi mkuu lililopangwa wiki ya kuelekea uchaguzi mkuu wenyewe wiki inayofuata, linakumbusha usemi wa Kiingereza kuwa ‘he who laughs last laughs best,’ hivyo itakuwa ni siku ya kura ya turufu nani mshindi wa uchaguzi mkuu. Tayari maelekezo na ishara zote…