MABONDIA KUZIPIGA SEPTEMBA 4 MWANANYAMALA
MABONDIA wa ngumi za kulipwa Ramadhan Shauri na Bakari Dunda wataoneshana kazi katika pambano lisili la ubingwa litakalofanyika Septemba 4 mwaka huu. Pambano hilo ambalo litakuwa la raundi nane litasindikizwa na burudani kutoka katika kundi la \’Makhirikhiri wa bongo\’ huku likitanguliwa na mapambano manne ya utangulizi ambapo yatafanyika katika ukumbi wa CCM Mwinjuma wa Mwananyamala Dar es Salaam. Akizungumza…