MATUMLA, MIYAYUSHO WAPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO KESHO
Dar es Salam: Mabondia Mbwana Matumla ‘Golden Boy’ na Francis Miyayusho ‘Chichi Mawe’ leo wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Ubingwa utakaofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es salaam kesho jumapili OKCTOBA 30. wakizungumza wachezaji hawo kwa wakati tofauti baada ya kupima wamesema wapo tayari kuonesha mchezo mzuri wa ngumi na kuwapa raha zisizo na kifani…
