JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
TAARIFA KWA UMMA TANZANIA IMECHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA MKUTANO MKUU WA UHIFADHI WA URITHI WA UTAMADUNI – ICCROM, UNAOFANYIKA ROMA TAREHE 14/11/2011 HADI 16/11/2011 Bw. Donatius Kamamba, ambaye ni Mkurugenzi wa Mambo ya Kale katika Wizara ya Maliasili na Utalii, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo ya Uhifadhi na Ukarabati wa…
