Tanzania imepokea msaada bilioni 133 kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika-ADB
SERIKALI YAPATA MSAADA WA FEDHA KUTOKA BENKI YA MAEDNELEO YA AFRIKA (Na Esther Muze na Bebi Kapenya – MAELEZO) 12.9.2011 Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa shilingi bilioni 133 kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) kwa ajili ya kusaidia miradi kuendeleza sekta ya kilimo na elimu nchini. Msaada huo ulisainiwa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa…