Chadema Kuapisha watu na hatari ya usalama
Na John Kimbute BADO mjadala unaendelea kuhusu hatua ya wakuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kutoa tamko rasmi kuwa hakuna atakayeruhusiwa kukataa matokeo, tamko ambalo limepata upinzani mkubwa kutoka kwa vikundi tofauti vya jamii, na kupelekwa malalamiko balozi mbalimbali. Inavyoelekea mabalozi au ofisi za kibalozi zilizopelekwa malalamiko hayo walipendelea kuwatuliza waliolalamika, wakiainisha matazamio yao kuwa uchaguzi ujao utakuwa…