Michael Dalali:Makala (A tribute):kwa rafiki yangu Marehemu Regia Mtema
Michael Dalali: Kamanda Umechanua na kunyauka.Pumzika kwa amani! “Tuache masihara, hakikisha unaninunulia ukiwa unarudi vitabu hivi; Balance Scorecard na Iron Lady cha Margeth Thatcher maana nimesikia upo nje ya bongo” aliniambia Regia, name nikamjibu “sawa. usijali nitakununulia”! Sikufahamu kuwa ndiyo yalikuwa mawasiliano yetu ya mwisho kati yangu na rafiki yangu Regia tuliyofanya tarehe 12.01.2012 na hata wala hatutoonana name…
