TAARIFA RASMI YA TEF KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI NCHINI
UTANGULIZI Mgomo wa Madaktari ambao umedumu kwa takriban wiki mbili nchini sasa ni dhahiri kwamba umelitikisa Taifa na kuathiri huduma za tiba katika hosipitali kadhaa nchini. Mgomo huu ulianza taratibu na kuendelea kukua kutokana na mvutano, pia vita ya maneno baina ya Serikali na Madaktari. HALI ILIVYO SASA Kutokana na taarifa zinazofikishwa katika vyumba vya habari, ni dhahiri kwamba…