Tanzania yazindua Kampeni ya kutangaza Utalii nchini Marekani
Na Pascal Shelutete, TANAPA: Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Sued Kagasheki ameshiriki katika kampeni maalum ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika mji wa Seattle nchini Marekani na kuelezea matarajio yake ya kuongezeka kwa idadi ya watalii nchini katika kipindi kifupi kijacho. Kampeni hiyo ilizinduliwa jana katika mji wa Seattle nchini Marekani na kushuhudiwa na uwepo wa…
