SBL kuchangia miradi ya maji
NA MAGRETH KINABO- MAELEZO : WATU zaidi ya 500, 000 wanatarajiwa kunufaika baada ya Kampuni ya Bia ya Serengeti (SLB) kutenga zaidi ya sh.milioni 300 kwa ajili ya miradi salama ya maji na usafi kwenye mikoa minne nchini . Hayo yalisemwa leo(jana) na Meneja wa Uhusiano na Mawasiliano kwa kampuni hiyo, Teddy Mapunda wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu…