Waziri aliyewahi kuwa msiri wa Raisi Julius Nyerere amefariki dunia
Tanzania: ALIYEWAHI kuwa mkuu wa wilaya tofauti hapa nchini wakati wa serikali ya awamu ya kwanza na baadaye kushika nyadhifa mbalimbali serikalini ,Waziri Juma Waziri amefariki dunia akitibiwa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam Juzi na anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao Sungwi baada ya swala adhuhuri. Kwa mujibu wa watu wa karibu na mzee Waziri, msiba upo…