EQUITY BANK GROUP KUWEKEZA TRILIONI 13
08 Jun, 2022 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Lawrence Mafuru (kulia), akizungumza na Viongozi wa Equity Bank Group Bw. Brent Malay (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji (Tanzania) , Bi. Isabela Maganga, Jijini Dodoma. Na Benny Mwaipaja, Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Lawrence Mafuru, ameihakikishia Benki ya Equity Group kwamba Serikali iko tayari kushirikiana na…