Nishati Tanzania na maendeleo ya Watanzania
Ellen Manyangu: NISHATI ni mhimili mkuu wa maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote duniani. Kwa karne nyingi mafuta asilia (petroli na dizeli) yamekuwa vyanzo vikuu vya nishati katika sekta za viwanda, usafirishaji na kilimo. Matumizi ya nishati asilia yanakabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo kusababisha kwa kiasi kikubwa mabadiliko ya tabia nchi na uchafuzi wa mazingira utokanao na hewa za…