NGUMI KULINDIMA ILALA Oktoba16
ZAIDI ya mabondia 42 wanatarajia kushiriki katika mashindano ya mchezo wa ngumi yanayotarajiwa kufanyika Oktoba16 mwaka huu Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari, Kocha wa Klabu ya Ashanti ya Ilala, Rajabu Mhamila, ‘Super D’ alisema kuwa mashindano hayo yanatarajiwa kushirikisha Klabu 12 kutoka katika maeneo mbalimbali. Alisema kuwa mashindano hayo yanatarajia kufanyika katika ukumbi wa Panandi Panandi…