MSONGAMANO WA NDEGE WAPUNGUA BAADA YA UKARABATI- NDEGE 30 ZATUA KWA SAA BADALA YA 8
] SERIKALI imesema kwamba msongamano wa ndege zinazosubiri kutua au kuruka katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere umepungua baada ya kufanyika kwa ukarabati mkubwa ambao umeongeza uwezo wa kuhudumia ndege 30 kwa saa badala ya nane. ** ** Kauli hiyo ilitolewa leo (jana) na Waziri wa Uchukuzi, Omari Nundu katika sherehe ya kuadhimisha siku ya kimataifa…