Agizo la serikali kwa wakaguzi wa ndani wa hesabu
Na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es salaam: Serikali imewaagiza wakaguzi wa ndani wa Sekretarieti za mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha kuwa hesabu za miradi yote ya maendeleo katika maeneo yao ya kazi inakaguliwa ili kuhakikisha kuwa inatoa matokeo mazuri yanayolingana na thamani ya fedha kwa matumizi yanaliyofanywa. Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu…