Mafunzo kuhusu mchakato wa kufungua maombi ya uwekezaji kwenye vitalu
Na Tulizo Kilaga Wizara ya Maliasili na Utalii itawachukulia hatua wale wote watakaokiuka sheria, kanuni na taratibu zinazotawala utekelezaji wa mchakato wa kuwapata wawekezaji kwenye vitalu vilivyopo kwenye Maeneo ya Jumuiya ya Hifadhi za Wanyamapori (WMAs). Akifungua warsha ya mafunzo kuhusu mchakato wa kufungua maombi ya uwekezaji kwenye vitalu vya WMAs iliyofanyika katika Ukumbi wa Blue Peel jijini Dar…