Tanzania inakusudia kuwatumia wataalamu wa Kitanzania walioko Diaspora
KUWATUMIA WATAALAMU WA KITANZANIA WALIOKO UGHAIBUNI (DIASPORA) NA NDANI YA NCHI KUJENGA UWEZO NA UFANISI WA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI MUHIMU ZA SERIKALI ______________________________ Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kuwatumia wataalamu wa Kitanzania walioko ndani ya nchi na wale walioko ughaibuni (Diaspora) katika kutekeleza mipango yake kadhaa yenye umuhimu kwa Taifa. Hapo awali, Serikali iliwatumia zaidi wataalamu…