Tanzania: improved yields key to poverty eradication

By Anthony Muchoki: A project to boost small scale farmers production through mixed farming and improved soil fertility Tanzania’s Northern Zone since 2010 has benefitted over 50,000 peasants. AGRA invested USD794,700 through the Ministry of Agriculture, Food Security and Cooperatives to improve soil fertility and increase food security and incomes of smallholder farmers in central and northern zones of…

Read More

A prestigious financial journalism awards open to reporters across Africa

CAPE-TOWN, South-Africa, December 5, 2013/ *– *South African financial services group Sanlam (http://www.sanlam.co.za) announced today that it had opened its prestigious financial journalism awards to reporters across Africa for the first time. The group aims to recognise and celebrate the contribution journalists across the continent are making towards the African growth story. The Sanlam Awards for Excellence in Financial…

Read More

Bringing a new lease of life to soil science: a novel PhD programme, supported by AGRA

By Anthony Muchoki=: THE average small-holder farmer, comprising a majority of the 45 million-strong population in Tanzania, hardly knows anything about soil health, notes Mr. Mwadhini Myanza, Executive Director of the Morogoro-based civil society organisation ‘Irrigation Training & Economic Empowerment Organization (IRTECO). This situation is replicated across Africa where, for many of the continent’s 54 countries assured food security…

Read More

Biashara ya Kahawa mbichi yafifisha soko la kilimo hai

Biashara ya Kahawa mbichi yafifisha soko la kilimo hai Na Mariam Juma: Emiliana Eligaisha (70), mjane aishie anayetegemea zao ka kahawa huko Kituntu katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, amelalamikia wakulima wanaouza kahawa mbichi kwa kuchanganya na kavu kuwa wanaua soko. Akiishi katika kaya yenye ukubwa wa takribani ekari sita zilizosheheni miti ya kahawa, maharage, mahindi na migomba kwa…

Read More

Kilimo cha umwagiliaji salama ya familia maskini

Na Mariam Juma: “Nilishindwa kuendelea na masomo baada ya baba kufariki, mama akasema kilimo kitatusaidia nirudi shuleni, mama amelima na mvua hakuna na mazao yamenyauka nahisi ndoto za kurudi shuleni zimekatika,’’ alisema mtoto Fikiri Joachimu(9) mkazi wa kijiji cha Kibombo kata ya Nyakasana wilayani Karagwe mkoani Kagera. Ni mtoto mdogo, lakini unaona kwamba pamoja na udogo wake anafahamu kabisa…

Read More

Kilimo cha chikichi kikiendelezwa jibu kwa umaskini wa wakulima

Na Fadhili Abdallah: CHIKICHI ni moja ya mazao yenye soko kubwa hapa duniani na kama litatumiwa na kuendelezwa vizuri linaweza kuwa moja ya njia nzuri za kuwaondoa wakulima wadogo katika lindi la umasikini. Ipo mifano mingi ambayo inaonyesha kwamba nchi zilizotumia zao la chikichi ambalo hutumika kuzalisha mawese zimeweza kufanikiwa katika kuinua kipato cha wananchi wake na kusaidia kuingia…

Read More

Elimu dawa kukabili uduni kwenye soko na uzalishaji wa mpunga

Na Anna Ruhasha: TAKWIMU zinaonesha kwamba kuna tatizo kubwa la kutoa elimu kubadili wakulima wa mpunga hasa kwenye wilaya ya Kilombero. Hali hiyo inatokana na ukweli kuwa kati ya asilimia 80 ya wakulima waliopatiwa elimu ya uzalishaji ni asilimia 30.1 walionekana kuwa na mwelekeo wakati asilimia 49 hawana elimu ya uzalishaji . Aidha asilimia 30.1 ya wakulima waliopatiwa elimu…

Read More

Kuporomoka kwa bei ya mchele kunawaumiza wakulima

Na Anna Atugonza: Kuna msemo unaosema kufa kufaana. Msemo huu ambao unaangalia zaidi faida ya upande mmoja kwa madhara ya upande mwingine, unaonekana kuchukua mkondo katika kilimo cha mpunga mwaka huu. Hali hiyo inatokana na kuporomoka kwa bei ya mchele, ambayo ni faida kubwa kwa mlaji lakini ikiwa ni hasara kubwa kwa mkulima wa mpunga. Wadau katika sekta hii…

Read More

Volunteer at Jericho Orphanage Home

Jericho Orphanage Home, a non-governmental organization, with aim to empower children in need to become productive members of society through rehabilitation, education and self-reliance skills. ‘For children are a heritage from the Lord and they deserve the best’ Volunteers activities – Preparing food for the children and helping them eat. – General cleaning, washing dishes, etc. – Helping the…

Read More