Kifo Cha Msanii Mkongwe Hodi Mame
HOTUBA YA MAOMBOLEZO Na Ndugu Elly Kimbwereza KIFO CHA MSANII MKONGWE HODI MAME SIKU YA MAZISHI YAKE IJUMAA TAREHE 6-2-2015 MBAGA Nasimama mbele yenu, kama mwakilishi wa Tona Lodge na mratibu wa utalii wa kiutamaduni na asili milima ya upare nikiungana nanyi nyote kwa majonzi ya msiba uliotupata. Kijiji kinaombeleza na dunia nzima imeguswa. Tumeunganishwa…