TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA 65 WA UTALII WA UNWTO
Tanzania imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Utalii wa 65 wa Kanda ya Afrika utakaoandaliwa naShirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Utalii (UNWTO) kwa kushirikiana na serikali ya Tanzania utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka 2022 katika Jiji la Arusha huku ukijumuisha Mawaziri wote wa Utalii wa Bara la Afrika Aidha, Katika mkutano huo Tanzania imechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Bajeti…