WANAHABARI WAPANDA MLIMA KILIMANJARO
Kama sehemu ya Maadhimisho ya mika 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, wanahabari 10 wanapanda Mlima Kilimanjaro kwa mwaliko wa Hifadhi za Taifa (TANAPA). Jana (Jumanne) wanahabari hao ambao wako chini ya uongozi wa Pascal Shelutete ambaye ni Meneja Uhusiano wa TANAPA, walifanikiwa kufika katika kituo cha pili cha kupanda Mlima huo kiitwacho Horombo. Wanahabari hao wanategemea kufika kileleni…